RUTO ANAVYOMDHIBITI RIGATHI KWA BUSARA
Siku zote ati palipo na wazee hapaharibiki jambo, wahenguzi hawakuambulia patupu. RAIS William Ruto hajakuwa mwepesi kumruhusu Naibu wake Rigathi Gachagua kuongoza uzinduzi wa miradi mikubwa ya miundomsingi tangu alipoingia mamlakani Septemba 13, 2022 hali ambayo imeibua maswali mengi sana miongoni mwa wakenya. Sababu ni kwamba hali hii ni tofauti kabisa muhula wa kwanza wa utawala wa Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Nyakati hizo, Dkt Ruto akiwa Naibu Rais, sawa na […]